Yamoto Band - Nitakupwelepweta [ dumu la petroli ]
0
Category:
Posted by Saumu Mbuvi  .  December 1, 2017
0 favorites
527 views
0 likes
0 comments
Unajifanya bingwa wakupenda kumbe bingwa wakutenda kuliko kupenda dadaaaeeh
Unasifa ya kuogopwa kama defender dadaaaeh
Umeuwa wengi ila kwangu umedunda
Aah koma eeh usitake nizikwe na kilo 2 kwenye mfuko
mamaeeh usitake familia ilie kwa sababu yako
dadaeeh ananitegemea mamaee aah ah
Nikifa atalia sana eh ah
katika familia na mimi ni baba japo baba yupo
Nikija kufa ufa nani ataziba hebu kwenda zako
Ananitegemea mama eh ah ah
Nikifa atalia sana eh ah ah
We kuku wakizungu mchinjaji anatabu x2
Hebu niache eh x2
Unapita na dumu la petroli hebu niache x2
Unarambo mi nina muwa ni ujinga ujinga tu eh mi hujaniua
Unakichaa mi nakuitaga we mwenda wazimu
Nimepata habari mwili wako umeujaza sumu
Unang'ang'ana unataka mi kunipa utamu
Umekosa singeli ngoma yakucheza huna nenda kalicheze segere segere mama segere segere
Segeree segere mama segere yoo
Eti ametuma mashoga zake waje kunambia
Roho inamuuma kidudu penzi kinamsumbua
Siri imevuma limenyu la wengi wanalipakua hana huruma
Kalitoa wapi aje kuniua
Nilikuwa sii hasara nikatoa nikagawanya nikajua unadanganya we mbaya eeh
Nusu dengu nusu dona wengi wao unawachanganya
... Huna haya wee
Mimi si size yako nitakupwelepweta bure
Tafuta type yako wa Ilala mimi wa KilunguleX2
Unataka kunipepelusha we kimbunga huniwez ng'oo
Kina chako cha maji marefu kuogelea sikiwez ng'oo
Unashinda kuwinda vyenye kung'aa vya masinzi huvitaki ng'oo
Unang'ang'ana kama ruba kwenye mwili wangu we nenda zako
Naushindwe shindwe uniache mwana wa mwenzio
Kwetu ndo jembe jembe ukivunja mpini ni kilioX2
Unakichaa mimi nakuitaga we mwendawazimu
Nimepata habar mwili wako umeujaza sumu
Unang'ang'ana unataka mi kunipa utamu
Umekosa singeli ngoma ya kucheza huna nenda kalicheze
Segere segere mama segere segere ooohX2
Mimi si size yako nitakupwelepweta bure
Tafuta type yako wa Ilala mm wa KilunguleX2
Anachuma cha moto huyo anaunguza watoto huyoo anaunguza watoto huyo
Apewe mkong'oto huyo ili ifike mwisho huyo tabia yakee
Tabia yakee
Tabia yakee
END