Rayvanny - kwetu (Video+Lyrics)
4
Category:
Posted by Saumu Mbuvi  .  December 1, 2017
0 favorites
556 views
0 likes
0 comments
kwasifa kwa mola wangu maulana kwamengi aliyofanya hadi minawe kukutana kisura!
sijapanga kudanganya nasema ukweli mama kisa nakupenda sana kisura!
umesema wanipenda ila maisha yangu maseke michicha, mirenda ndio menu yangu na ya kukumateke yaani chenga kila siku kilio sali nicheke sina tenda ugali buguruni mboga temeke nafurahi umenilidhia niwe na ww kimwali maisha yangu mitihaniii isiyoisha maswali ukifika nyumban vumiliaaa maana hali sio shwari asubuhi mchana pakavu jioni ndio kula futari tena!
hukukwetu mudawote mateja wanatinga viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda×2
mwali wee swala la nyumba na gari
me ni badoo, me badoo, ndio kwanza nimepanga, badooo, sina hata kiwanja, mieeh badoo, kulipakodi majanga, me badoooo!
mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kalili vichocholo gheto la mkeka tu hakuna kitanda shuka wala godoro.
hekaheka hakuna kibatali ndan giza totoro mvua ikinyesha nyumba inageuka kama boti ya komoro!
ila nimeshakupaaah!
nimeshakupa mtimamtima ukija kususaa utanizika mzima mzima×2
tena!
huku kwetu muda wote mateja wanatinga viwalo vyetu ukifua kumbuka kuvilinda.
huku kwetuu muda wote mateja ahhhh mwali eeeh.
swala la nyumba na gari me ni badoo!
me badoo, sina hata kiwanja, ndio kwanza nimepanga, kulipakodi majanga