Matonya feat. Rich Mavoko Mule Mule Unaniwezaga
3
Category:
Posted by Saumu Mbuvi  .  December 3, 2017
0 favorites
407 views
0 likes
0 comments
Anaye nimalizaga leo amerudi tena
kwa mikwara mingi tena yu ndani ya bima
wallah tonya mbili kwake maneno mi sina
amenishika roho, mwili mpaka hekima.a.a.a

hivi vipesa karatasi hasara roho mama
tuna tegana pwani huku kiunoni shanga
anasema nipe kiti, asha pigwa na baridi
yule kule msaliti, hataki kuona roho juu kabisa.a.a.a.a

Chourse
mulemule... unaniwezaga
mule... mi nachoka kabisa
mulemule... unaniwezaga
mule... mi nachoka kabisa
mulemule... unaniwezaga
mule... mi nachoka kabisa
mulemule... unaniwezaga
mule... mi nachoka kabisa

"Rich mavoco"

unainua chako kiuno."alikupa mama"
ongeza kidogo miguno."we mwana lala"
vitundu fulani vya dunia
usinipe mbuzi kwenye gunia
tena lijali mi kitandani.oo "babu amenifunza"
mengi maneno naweka kandoo."ndiyo maana nawa puuza"
umefinyangwa muda gani wewee.?
au kwa udongo wa pwani wewee.?
tayarisha mafuta ya karafuu
uje kunichua na miguu
kiza kidoga si nguru, ugali na pande la nguru

Chourse
mule mule... unaniwezaga