Malaika - Nawararua Rarua
3
Category:
Posted by Saumu Mbuvi  .  December 7, 2017
0 favorites
404 views
0 likes
0 comments
[Verse 1]
Niache nifanye kusudi,
ikibidi nifanye kufuru, wanitangaze hata sana,
kwani, mimi ninavyompenda, mwingine hakuna,
kanifunga kamba, nitatimiza sunna,
kaniganda-ganda, baridi hakuna,
utundu wa kitanda, na lake jaramba,

[Bridge]
ninasema simuachi, nakaba mpaka penalti,
kwa utamu wa nanasi, naufyonza mpaka basi,
ninasema simuachi, nakaba mpaka penalti,
kwa utamu wa nanasi, naufyonza mpaka basi,

wacha kusema waseme, wala sijali,
haya yake masebene, mie sichezi mbali,

[Hook]
nawararua-rarua, nawararua,
nawararua-rarua, nawararua,
nawararua-rarua, nawararua,
nawararua, rarua-rarua-rarua,

[Verse 2]
nimelamba utamu wa peremende,
kanifunga kabisa na kwao twende,
akanipega pwani harua tende, kweli,
nimesema simuachi, nakaba mpaka penalti,
nitabeba hata pochi, nitalipia na cash,
nimesifiwa ku-peti-peti, sijasifiwa kuvaa,
ninapuliza japo kuna neti, penzi lizidi kung'aa,
na siwezi ya walimwengu maneno naficha penzi,
wanang'ata bila meno,

[Hook]
nawararua-rarua, nawararua,
nawararua-rarua, nawararua,
nawararua-rarua, nawararua,
nawararua, rarua-rarua-rarua,

[Bridge]
ninasema simuachi, nakaba mpaka penalti,
kwa utamu wa nanasi, naufyonza mpaka basi,
ninasema simuachi, nakaba mpaka penalti,
kwa utamu wa nanasi, naufyonza mpaka basi,

wacha kusema waseme, wala sijali,
haya yake masebene, mie sichezi mbali,

[Hook]
nawararua-rarua (rwaaaa!!), nawararua (eheeee!!),
nawararua-rarua (rwaaaa!!), nawararua,
nawararua-rarua (rwaaaa!!), nawararua,
nawararua, rarua-rarua-rarua.